Lugha za Kianatolia
(Elekezwa kutoka Kianatolia)
Lugha za Kianatolia ni jina la kundi la lugha za kale zilizotumika hasa katika rasi ya Anatolia (leo Uturuki). Kundi hilo linaainishwa kama mojawapo kati ya yale ya lugha za Kihindi-Kiulaya.
Maarufu zaidi ilikuwa ile ya Wahiti. Zote zilikoma kufikia mwanzo wa milenia ya 1 BK kwa kuzidiwa na Kigiriki.
Viungo vya nje hariri
- "Digital etymological-philological Dictionary of the Ancient Anatolian Corpus Languages (eDiAna)". Ludwig-Maximilians-Universität München. Iliwekwa mnamo 18 February 2017. Check date values in:
|accessdate=
(help) - "Luwian". ancientscripts.com. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-02-04. Iliwekwa mnamo 7 February 2012. Unknown parameter
|url-status=
ignored (help); Check date values in:|accessdate=
(help) - Justus, Carol; Slocum, Jonathan. "Indo-European Languages: Anatolian Family". University of Texas at Austin. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 5 February 2012. Iliwekwa mnamo 7 February 2012. Unknown parameter
|=
ignored (help); Unknown parameter|url-status=
ignored (help); Check date values in:|archivedate=, |accessdate=
(help) - Melchert, H. Craig. "Anatolian Databases". UCLA. Iliwekwa mnamo 7 February 2012. Check date values in:
|accessdate=
(help) Luwian, Lycian and Lydian. - Lauffenburger, Olivier (2006). "The Hittite Grammar Homepage". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-05-20. Unknown parameter
|url-status=
ignored (help)
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Lugha za Kianatolia kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |