Kizurizuri

(Elekezwa kutoka Kiawara (samaki))
Kizurizuri
Domodomo wa Peters (Gnathonemus petersii)
Domodomo wa Peters (Gnathonemus petersii)
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Nusufaila: Vertebrata (Wanyama wenye uti wa mgongo)
Ngeli: Actinopterygii
Oda: Osteoglossiformes
Familia: Mormyridae
Bonaparte, 1832
Nusufamilia: Petrocephalinae
Taverne, 1972
Jenasi: Petrocephalus
Marcusen, 1854
Ngazi za chini

Spishi 46, 5 katika Afrika ya Mashariki:

Kizurizuri ni samaki wa maji baridi wa nusufamilia Petrocephalinae katika familia Mormyridae na ngeli Actinopterygii (mapezi yenye mihimili) ambao wanatokea Afrika tu. Nusufamilia hii ina jenasi moja, Petrocephalus, yenye spishi 46. Spishi hizi hazina pua ndefu na mdomo wa chini ni mfupi, lakini zina ogani za umeme kama binamu katika nusufamilia Mormyrinae. Kwa hivyo ubongonyuma wao ni mkubwa pia na unatumia nishati nyingi (tazama domodomo).

Spishi za Afrika ya Mashariki

hariri

Marejeo

hariri
  • Rashid Anam & Edoardo Mostarda (2012) Field identification guide for the living marine resources of Kenya. FAO, Rome.
  • Gabriella Bianchi (1985) Field guide to the commercial marine brackish-water species of Tanzania. FAO, Rome.
  Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kizurizuri kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.