Kibaha Education Centre

(Elekezwa kutoka Kibaha education centre)

Kibaha Education Centre (kifupi: KEC) ni taasisi ya elimu iliyoko Kibaha nchini Tanzania. Iko katika 6°47'22.2"S, 38°58'28.7"E katika halmashauri ya manispaa ya Kibaha.

KEC ilianzishwa mwaka 1963 chini ya ufadhili wa nchi tano, serikali ya Tanganyika (sasa Tanzania) kwa upande mmoja na nne ni Denmark, Finland, Norway na Sweden.Kabla ya kuikabidhi serikali ya Tanzania mwaka 1970, KEC ilijulikana kama mradi wa Nordic-Tanganyika mwaka 1961–1964.

Usimamizi hariri

KEC inasimamiwa na Bodi ya wakurugenzi inayojumuisha wawakilishi kutoka Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi,[1] Wizara ya Afya, Jumuiya ya Maendeleo, Jinsia, Wazee na watoto (MoHCDEC),[2] Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia (MoEST),[3] Wizara ya Fedha na mipango[4] na Ofisi ya Waziri Mkuu kupitia Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), pamoja na wajumbe wengine watatu walioteuliwa na Bodi ya Wakurugenzi.

Marejeo hariri

  1. "Ministry of Agriculture Livestock and Fisheries". Iliwekwa mnamo 16 Septemba 2017.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Ministry of Health, Community Development, Gender, Elderly and Children". Ministry of Health, Community Development, Gender, Elderly and Children (MoHCDEC) (Tanzania). Iliwekwa mnamo 16 Septemba 2017.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "Ministry of Education Science and Technology". Ministry of Education Science and Technology. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-04-19. Iliwekwa mnamo 16 Septemba 2017. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. "Ministry of Finance and Planning". Ministry of Finance and Planning. Iliwekwa mnamo 16 Septemba 2017.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)