Kibajuni (pia kinajulikana kama Kitikuu au Kitikulu) ni lahaja ya Kiswahili inayozungumzwa na watu wanaojulikana kama Wabajuni wanaomiliki sehemu ya eneo la visiwa vya Bajuni na eneo la pwani ya Kenya, pamoja na baadhi ya maeneo ya kusini mwa Somalia yanayojumuiisha makundi machache ya makabila mbalimbali.[1][2]

Maho (2009) anaichukulia Kibajuni kama lugha ya pekee, lakini Nurse pamoja na Hinnebusch (1993) wameichukulia kama lahaja ya kaskazini mwa eneo la Waswahili.

Marejeo hariri

  1. Wayback Machine. web.archive.org (2018-02-03). Jalada kutoka ya awali juu ya 2018-02-03. Iliwekwa mnamo 2022-08-08.
  2. Nurse, Derek; Hinnebusch, Thomas J.; Philipson, Gérard (1993). Swahili and Sabaki: A Linguistic History (in English). Univ of California Press. ISBN 978-0-520-09775-9. 
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibajuni kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.