Kibali (Indonesia)

Kibali ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wabali kwenye visiwa vya Bali na Nusa Penida. Pia Wabali wamehamia visiwa vya Sulawesi na vya Lombok. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kibali imehesabiwa kuwa watu 3,330,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibali iko katika kundi la Kibali-Sasak-Sumbawa. Isichanganywe na lugha nyingine ziitwazo Kibali nchini za Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na Nigeria.

Kibali (Indonesia)

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibali (Indonesia) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.