Kifulani-Borgu
(Elekezwa kutoka Kifulfulde-Kati, Magharibi)
Kifulani-Borgu ni lahaja ya Kifulani, kilicho lugha ya Kiniger-Kongo nchini Benin inayozungumzwa na Wafulani. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kifulani-Borgu nchini Benin imehesabiwa kuwa watu 280,000. Pia kuna wasemaji nchini Togo na Nigeria. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kifulfulde-Borgu iko katika kundi la Kiatlantiki.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kiborgu kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiborgu
- lugha ya Kiborgu katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/fue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kifulani-Borgu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |