Kigundungurra
Kigundungurra kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wagundungurra katika jimbo la New South Wales. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea Kigundungurra, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kigundungurra kiko katika kundi la Kiyuin. Wengine hukiangalia kuwa lahaja ya Kingunawal.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kigundungurra kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kigundungurra Ilihifadhiwa 3 Oktoba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kigundungurra katika Glottolog
- lugha ya Kigundungurra katika Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kigundungurra kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |