Kigupapuyngu
lugha ya asili ya Australia
Kigupapuyngu ni lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia inayozungumzwa na Wagupapuyngu katika jimbo la Northern Territory. Katika sensa ya mwaka 2006, kulikuwa na wasemaji wa Kigupapuyngu 330. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kigupapuyngu kiko katika kundi la Kiyolngu. Wengine hukiangalia kuwa Lahaja ya Kidhuwal.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kigupapuyngu kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kigupapuyngu Ilihifadhiwa 25 Januari 2018 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kigupapuyngu katika Glottolog
- lugha ya Kigupapuyngu katika Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kigupapuyngu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |