Kihadimu (inajulikana pia kwa jina la Kikae au Kimakunduchi) ni lahaja ya Kiswahili inayopatikana kusini mwa Unguja.

Lahaja hiyo ipo sawa na lahaja nyingine za Kiswahili, lakini ipo tofauti sana na lahaja ya Kiunguja na ina ufanano na lahaja ya Kipemba kwa sababu Kipemba na Kihadimu zote zinatumia maneno ya asili lakini Kiunguja kinatumia sana maneno ya kigeni.

Mifano ya lahaja ya Kihadimu

hariri
  • Mdota asali hadoto umoja
  • Wimbo mbaya haunachuchiwa mwana
  • Mtu hujikuna anavojikuta
  • Mchaka hachoko, akachoka kamevata
  • Masikini haokoto, akaokota kebi.
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kihadimu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.