Mimba
(Elekezwa kutoka Kiinitete)
Mimba ni mtoto wa mamalia ambaye anakua katika tumbo la uzazi la mama yake hadi azaliwe.
Ukuaji huo unaendelea moja kwa moja, bila kupitia hatua zilizo wazi, ingawa pengine lugha zinatumia misamiati tofauti kadiri ya siku au wiki zilizopita tangu mimba itungwe.
Muda wa ukuaji huo wote ni tofauti kadiri ya spishi husika. Kwa binadamu ni miezi 9 hivi.
Tanbihi
haririViungo vya nje
hariri- "Prenatal Image Gallery Index" from The Endowment for Human Development (providing numerous motion pictures of human fetal movement that can be viewed online).
- "In the Womb," Ilihifadhiwa 24 Septemba 2008 kwenye Wayback Machine. video from National Geographic.
Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mimba kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |