Kikonganyi

Program inayotumika kutafsiri msimbo wa tarakilishi

Katika utarakilishi, kikonganyi (pia: kikusanya[1]; kwa kiingereza: compiler) ni programu inayotumika kutafsiri msimbo wa tarakilishi ulioandikwa kwa lugha ya programu moja kwenda lugha ya programu nyingine. Kwa mfano, kikonganyi hutumika kwa lugha ya programu kama Python, JavaScript au Ruby.

Mchoro wa operesheni za kikonganyi

Tanbihi hariri

  1. "Sisi ni Sauti za Dunia: Miaka Mitano Baadaye · Global Voices in Swahili". Global Voices in Swahili (kwa Kiswahili). 2010-01-02. Iliwekwa mnamo 2020-11-09. 

Marejeo hariri

  • Kiputiputi, O. (2011). Kamusi sanifu ya kompyuta. Taasisi ya Taaluma za Kiswahili, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, K.602.
  Makala hii kuhusu mambo ya teknolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hiyo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.