Kim Min-woo (alizaliwa 25 Februari 1990) ni mchezaji wa soka wa Korea Kusini ambaye sasa anacheza katika klabu ya Suwon Samsung Bluewings.

Kim Min-woo

Sagan Tosu

hariri

Hakuweza kuendelea na kazi yake huko Korea na kwenda katika klabu ya PSV, Kim alisaini mkataba wa miaka mitatu (3) na Sagan Tosu.

Kazi ya kimataifa

hariri

Alikuwa mwanachama wa timu ya Korea Kusini chini ya miaka 20 katika Kombe la Dunia la FIFA chini ya miaka 20 mwaka 2009. Kim aliitwa katika kikosi cha Korea Kusini katika mechi ya kirafiki dhidi ya Nigeria kwa mara ya kwanza mwaka 2010

Mnamo Mei 2018 aliitwa jina lake katika kikosi cha kwanza cha kuwakilisha Korea Kusini kwa ajili yaKombe la Dunia la FIFA 2018 nchini Urusi.

  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kim Min-woo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.