Kim Seung-gyu (alizaliwa 30 Septemba 1990) ni mchezaji wa soka wa Korea Kusini ambaye anacheza katika klabu iliyopo Japani Vissel Kobe, na pia sasa ni kipa wa timu ya taifa ya Korea Kusini.

Kim Seung-gyu

Kazi ya klabu hariri

Baada ya kuhitimu shule ya sekondari, alijiunga na klabu ya Ulsan Hyundai na 2006 alijiunga na Draft.Alicheza kama mchezaji wa timu ya chini ya miaka 18 mwaka 2006 na 2007.

Alianza katika K League mwaka 2008. Mwaka 2013 Kim aliitwa jina lake katika kikosi bora cha K League Classic cha XI 2013 kwa sababu ya utendaji wake bora.

Mnamo 2016, aliamua kwenda nje ya nchi, akichezea klabu ya Vissel Kobe huko Japan.

  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kim Seung-gyu kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.