Kimakhuwa
Kimakhuwa ni lugha ya Kibantu nchini Msumbiji inayozungumzwa na Wamakua. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kimakhuwa imehesabiwa kuwa watu zaidi ya milioni tatu. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kimakhuwa iko katika kundi la P30.
Angalia pia
haririViungo vya nje
hariri- lugha ya Kimakhuwa kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kimakhuwa Ilihifadhiwa 22 Septemba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kimakhuwa katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/vmw
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kimakhuwa kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |