Kimakhuwa-Saka
Kimakhuwa-Saka (au Kisakati) ni lugha ya Kibantu nchini Msumbiji inayozungumzwa na Wamakua. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kimakhuwa-Saka imehesabiwa kuwa watu 212,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kimakhuwa-Saka iko katika kundi la P30.
Angalia pia
haririViungo vya nje
hariri- lugha ya Kisaka kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kisaka Ilihifadhiwa 23 Septemba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kisaka katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/xsq
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kimakhuwa-Saka kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |