Kimalay Sanifu ni lugha ya Kiaustronesia nchini Malaysia, Brunei na Singapuri inayotumiwa na Wamalay na watu wengi wengine. Idadi ya watu watumiao Kimalay Sanifu kama lugha ya kwanza ni ndogo sana, kwa vile lugha ya kwanza ya Wamalay ni Kimalay ya kawaida na lahaja zake. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimalay Sanifu iko katika kundi la Kimalayiki.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimalay Sanifu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.