Kimindong
(Elekezwa kutoka Kimin-Dong ya Kichina)
Kimin-Dong ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Uchina inayozungumzwa na Wahan. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kimin-Dong nchini Uchina imehesabiwa kuwa watu milioni 8.8. Pia kuna wasemaji katika nchi zifuatazo: 7060 nchini Brunei (2006), wachache tu nchini Indonesia (bila mwaka), 252,000 nchini Malaysia (2004), 34,200 nchini Singapuri (2000), na wengi nchini Uthai (bila takwimu). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kimin-Dong iko katika kundi la Kichina.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kimin-Dong kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kimin-Dong Ilihifadhiwa 3 Machi 2016 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kimin-Dong katika Glottolog
- lugha ya Kimin-Dong kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kimindong kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |