Kinyangga
lugha ya asili ya Australia iliyotoweka
Kinyangga (au Kiyangkaal) kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wanyangga katika jimbo la Queensland. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea Kinyangga, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kinyangga kiko katika kundi la Kitangiki. Wengine hukiangalia kuwa lahaja ya Kiganggalida.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kinyangga kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kinyangga
- lugha ya Kinyangga katika Glottolog
- lugha ya Kinyangga katika Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kinyangga kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |