Kipali ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Uhindi na Myanmar. Siku hizi hakuna watu ambao huitumia kama lugha yao ya kwanza lakini bado inafundishwa kwa vile ni lugha ya fasihi ya Kibuddha. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kipali iko katika kundi la Kiaryan.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kipali kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.