Kikara (Tanzania)
Tanzania
(Elekezwa kutoka Kiregi)
Kikara (pia Kiregi) ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Wakara, wakazi wa kisiwa kimojawapo cha Ziwa Viktoria.
Mwaka 1987 idadi ya wasemaji wa Kikara ilihesabiwa kuwa watu 86,000.
Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kikara iko katika kundi la E20. Inafanana na Kijita (81%) na Kikwaya (80%).
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kikara kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kikara Archived 22 Septemba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kikara katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/reg
- http://www.african.gu.se/tanzania/weblinks.html Archived 4 Oktoba 2006 at the Wayback Machine.
- http://www.linguistics.berkeley.edu/CBOLD/Docs/TLS.html (tovuti hiyo ina msamiati wa Kikara)
Marejeo
hariri- Maho, Jouni & Bonny Sands. 2002. The languages of Tanzania: a bibliography. (Orientalia et africana gothoburgensia, no 17.) Göteborg: Acta Universitatis Gothoburgensis. Pp ix, 428. ISBN 91-7346-454-6
Kitabu hiki kinataja marejeo mengine kama:
- Schoenbrun, David Lee. 1997. The historical reconstruction of Great Lakes Bantu: etymologies and distributions. (Sprache und Geschichte in Afrika (SUGIA), Beiheft 9.) Köln: Rüdiger Köppe Verlag. Pp 351. [ISBN 3-89645-095-6]
- Schweinitz, H. H. von. 1893. Wanyamwezi, Wassukuma, Wasiba und Wakara. Zeitschrift für Ethnologie, 25, pp 477–484.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kikara (Tanzania) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |