Kisiwa Jeju ni kisiwa kinachopatikana kusini kwa peninsula ya Korea, katika mlangobahari wa Korea.[1]

Kisiwa Jeju

Ndani yake mna volkeno iliyo mahali pa urithi wa dunia palipoorodheshwa na UNESCO.

Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Kisiwa Jeju kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.