Klaudi, Lupersi na Viktori
Klaudi, Lupersi na Viktori (walifariki Leon, Hispania, 304 hivi) walikuwa askari Wakristo ambao waliuawa kutokana na imani yao wakati wa dhuluma ya kaisari Dioklesyano[1][2] [3].
Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama watakatifu wafiadini.
Tazama pia
haririTanbihi
haririMakala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |