Klaus Kinski

Klaus Kinski (Alizaliwa tar. 18 Oktoba 192623 Novemba 1991) alikuwa mwigizaji wa filamu wa kutoka nchini Ujerumani. Alifahamika sana kwa uwezo wake mkubwa wa kiigizaji katika kiwambo, na ukemeaji wake wa kiukali. Kinski ameigiza zaidi ya filamu 180. Kinski pia aliwahi kushiriki katika filamu za western ya Italia, maarufu kama spaghetti western.

Klaus Kinski
Klaus Kinski
Klaus Kinski
Jina la kuzaliwa Nikolaus Karl Günther Nakszyński
Alizaliwa 18 Oktoba 1926
Poland
Kafariki 23 Novemba 1991, Marekani
Jina lingine Klaus Kinski
Kazi yake Mwigizaji
Miaka ya kazi 1948 mpaka 1989

Filamu Alizocheza KinskiEdit

MarejeoEdit

Ona piaEdit

Viungo vya NjeEdit

Wikiquote ina mkusanyiko wa dondoo kuhusu:
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Klaus Kinski kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.