Kobayashi Issa (kwa Kijapani: 小林 一茶; 15 June 1763 - 5 Januari 1828 [1] alikuwa mshairi wa Japani na kuhani wa dini ya Ubudha akiandika sana mashairi aina ya Haiku.

Kobayashi Issa

Alikuwa akijulikana sana kwa lakabu ya jina la Issa na ni miongoni mwa walimu wanne maarufu wa haiku nchini Japani pamoja na Matsuo Bashō, Yosa Buson na Masaoka Shiki [2]

Marejeo

hariri
  1. Saihōji homepage bio for Issa Archived 28 Juni 2017 at the Wayback Machine..
  2. R. H. Blyth, A History of Haiku Vol I (Tokyo 1980) p. 289
  Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kobayashi Issa kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.