Kolmani wa Orkney (alifariki 1010 hivi) alikuwa askofu wa visiwa hivyo vya Uskoti kuanzia mwaka 994 [1].

Pengine anachanganywa na Kolmani mwingine aliyekuwa abati wa Dromore huko Ireland na kufariki katika karne ya 6[2].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 6 Juni[3].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Marejeo hariri

  • Filippo Caraffa e Giuseppe Morelli (curr.), Bibliotheca Sanctorum (BSS), 12 voll., Istituto Giovanni XXIII nella Pontificia Università Lateranense, Roma 1961-1969. (Kiitalia)
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.