Constantius II

(Elekezwa kutoka Konstans II)

Constantius II (7 Agosti 317 - 3 Novemba 361) alikuwa Kaizari wa Dola la Roma kuanzia 337 hadi kifo chake.

Sanamu ya Constantius II

Alimfuata baba yake Konstantino Mkuu akafuatwa na Juliani Mwasi.

Alipinga sana imani sahihi ya Kanisa Katoliki ilivyofundishwa na Mtaguso wa kwanza wa Nisea na kudhulumu maaskofu walioitetea akipendelea uzushi wa Ario.

Tazama pia hariri

  Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Roma bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Constantius II kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.