Krodegangi wa Seez

Krodegangi wa Seez (alifariki Nonant, 769) alikuwa askofu wa 15 wa Seez[1] nchini Ufaransa, aliyeuawa na ndugu wa mzazi wake mwenye kijicho[2] [3].

Watakatifu Krodegangi na Oportuna katika madirisha ya kioo cha rangi.

Alikuwa pacha[4] wa Oportuna[5][6].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 3 Septemba[7].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  1. "Site du diocèse de Sées". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2010-08-17. Iliwekwa mnamo 2024-05-11. 
  2. La vie de sainte Opportune, abbesse d'Almenèches au diocèse de Séez en Normandie, Léon de La Sicotière (1866), BnF - Gallica.
  3. http://www.santiebeati.it/dettaglio/68920
  4. O.& Ph. Thos, « Sur les traces de saint Godegrand », in À la croisée de nos chemins, Kigezo:P., n° 37, Bayard, Vern-sur-Seiche, juin 2015.
  5. Jones, Terry. "Opportuna". Saints.SQPN.com. Iliwekwa mnamo 2012-02-25. 
  6. Rabenstein, Katherine (April 1999). "Opportuna of Montreuil, OSB". Saints O' the Day for April 22. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo February 6, 2007. Iliwekwa mnamo 2012-02-24.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); Check date values in: |date=, |archivedate= (help)
  7. Martyrologium Romanum

Viungo vya nje hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.