Kulu Yahaya (alizaliwa 23 Mei 1976) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa Ghana ambaye alicheza kama beki wa timu ya taifa ya mpira wa miguu ya wanawake ya Ghana. Alikuwa sehemu ya timu katika Kombe la Dunia la FIFA la Wanawake la 1999[1]. Kwenye ngazi ya klabu alichezea Ashiaman Ladies nchini Ghana.[2]

Kulu Yahaya
Amezaliwa 23 Mei 1976
Ghana
Nchi Ghana
Kazi yake Mwanasoka

Marejeo hariri

  1. "FIFA Women's World Cup USA 1999 - Ghana". FIFA Women's World Cup United States 1999. FIFA. 1999. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2 July 2015. Iliwekwa mnamo 2007-09-28.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); Check date values in: |archivedate= (help)
  2. "FIFA Women's World Cup 1999 squads" (TXT). FIFA. 1999. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 17 December 2000. Iliwekwa mnamo 29 September 2019.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help); More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); Check date values in: |archivedate=, |accessdate= (help)
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kulu Yahaya kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.