Kwirino wa Sisak (alifariki Savaria, Panonia, leo Szombathely nchini Hungaria, 309) alikuwa askofu wa Sisak, leo nchini Korasya, aliyeuawa kwa ajili ya imani yake wakati wa dhuluma ya kaisari Galerius kwa kutoswa mtoni amefungwa jiwe shingoni[1].

Sanamu yake huko Halsteren, Netherlands.

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 4 Juni[2]

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.