Lambati wa Freising

Lambati wa Freising (kwa Kijerumani: Lantpert; Ebersberg, Ujerumani, 895 hivi - Freising, Ujerumani, 19 Septemba 957) alikuwa askofu wa 13 wa mji huo (937-957)[1].

Sanamu ya Mt. Lambati.

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake ni tarehe ya kifo chake [2].

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri

Marejeo

hariri

Viungo vya nje

hariri
 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.