Je, wajua...?

hariri

Je, wajua...? kwa Desemba 2012

hariri

...kwamba Ngugi wa Thiongo (amezaliwa 5 Januari, 1938) ni mwandishi Mkenya aliyeandika kwa Kiingereza lakini siku hizi anatumia lugha ya Gikuyu. Maandishi yake ni pamoja na riwaya, tamthilia, hekaya, insha na uhakiki. Ameanzisha gazeti la lugha ya Gikuyu "Mutiiri". Tangu 1982 ameishi nje ya Kenya akifundisha kwenye vyuo vikuu mbalimbali kama Yale, New York na Irvine/California.