Hifadhi ya Ruaha

Hifadhi ya Ruaha iko katikati ya Tanzania umbali wa kilometa 128 magharibi kwa mji wa Iringa. Hifadhi hii ina ukubwa wa kilometa za mraba 1300.

  • Hifadhi hii ni maarufu kwa wanyama aina ya kudu wakubwa na wadogo ambao hupatikana kwa wingi katika hifadhi.
Hifadhi ya Ruaha
Ndege katika Hifadhi ya Ruaha
  • Hifadhi hii ina sifa ya kuwa na wanyama na mimea karibu yote inayopatikana Kusini na Mashariki mwa Afrika.

Namna ya kufikaEdit

Safari kwa kutumia ndege za kukodi kutoka Dar es Salaam, Arusha, Iringa na Mbeya. Pia kupitia barabara.

Wakati mzuri wa kutembelea hifadhi hii na kuangalia wanyama wakubwa ni wakati wa kiangazi, kati ya mwezi Mei hadi Desemba. Kuangalia ndege na maua wakati wa masika (Januari hadi Aprili)

PichaEdit

Tazama piaEdit

MarejeoEdit

Majarida ya hifadhi za Taifa Tanzania

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Iringa bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Hifadhi ya Ruaha kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.