Lapidothi
Lapidothi (kwa Kiebrania לַפִּידוֹת, Lappidoth, "Mienge"[1]) alikuwa mume wa nabii Debora, mwamuzi wa Israeli katika karne ya 12 KK,[2] ambaye habari zake zinasimuliwa katika Kitabu cha Waamuzi, sura 4-5.
Hatujui zaidi juu yake, lakini jina lake linazidi kutumiwa na wanaume, hasa Waisraeli.
Tanbihi
hariri- ↑ "Strong Numbers - Lappidoth". strongnumbers.com. 03-20-11
- ↑ Judges 4:4