Karne ya 12 KK
karne
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ |
Milenia ya 3 KK |
Milenia ya 2 KK |
Milenia ya 1 KK |
►
◄ |
Karne ya 14 KK |
Karne ya 13 KK |
Karne ya 12 KK |
Karne ya 11 KK |
Karne ya 10 KK |
►
Karne ya 12 KK (= kabla ya Kristo) ni kipindi cha miaka mia kuanzia tarehe 1 Januari 1200 KK na kuishia tarehe 31 Desemba 1101 KK.
Matukio
hariri- 1197 KK: Farao Ramses III anafaulu kufukuza wavamizi wa Misri waliotokea baharini. Wafilisti wanavamia Kanaani. Mwanzo wa uongozi wa Waamuzi katika Israeli.
- 1160 KK-1121 KK: Nabii mwanamke Debora anaongoza makabila kadhaa ya Israeli kama Mwamuzi
- 1114 KK Tiglath-pileseri I anaanza kutawala milki ya Ashuru.
Watu muhimu
haririViungo vya nje
haririWikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Karne ya 12 KK kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |