Leokadia wa Toledo

Leokadia wa Toledo (Toledo, Hispania, karne ya 3 - Toledo, 9 Desemba 304) alikuwa bikira Mkristo aliyeuawa katika dhuluma ya kaisari Dioklesyano[1].

Mt. Leokadia alivyochorwa.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 9 Desemba[2].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.