Leonardi wa Limoges

Leonardi wa Limoges (496 - alifariki karibu na Limoges, leo nchini Ufaransa, 559 hivi) alikuwa mkaapweke kwa sehemu kubwa ya maisha yake[1].

Sanamu yake.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa kila tarehe 6 Novemba[2].

Tazama piaEdit

TanbihiEdit

MarejeoEdit

  • Guibert, Louis La commune de Saint-Léonard-de-Noblat au XIIIe siècle. Limoges, 1890 (reprinted 1992) (Kifaransa)

Viungo vya njeEdit

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.