Let's Talk About Love
Let's Talk About Love ni albamu ya mwimbaji Celine Dion iliyotolewa mnamo 18 Novemba 1997. Ni albamu yake ya tano inayotumia lugha ya Kiingereza, na ya 23 kwa jumla. Let's Talk About Love imeuza zaidi ya albamu milioni 31 kote duniani.[1] Ndni yake, kuna wimbo wa "My Heart Will Go On" iliyoshinda tuzo ya Grammy Award na Academy Award, na ilifika #1 kote duniani, na kuifanya iwe wimbo maarufu zaidi ya Celine Dion.
Let's Talk About Love | |||||
---|---|---|---|---|---|
Kasha ya albamu ya Let's Talk About Love.
|
|||||
Studio album ya Celine Dion | |||||
Imetolewa | 18 Novemba 1997 | ||||
Imerekodiwa | 1997 | ||||
Aina | pop | ||||
Urefu | 74:35 | ||||
Lugha | Kiingereza | ||||
Lebo | Epic, 550 | ||||
Mtayarishaji | Walter Afanasieff, David Foster, Humberto Gatica, Corey Hart, James Horner, George Martin, Billy Pace, Tony Renis, Jim Steinman, Ric Wake | ||||
Tahakiki za kitaalamu | |||||
Wendo wa albamu za Celine Dion | |||||
|
|||||
Single za kutoka katika albamu ya Let's Talk About Love | |||||
|
Kuhusu albamu hii
haririAlbamu hii ilirikodiwa katika miji ya London, New York na Los Angeles, na ilishirikisha wasanii wengi kama Barbra Streisand, Bee Gees, Luciano Pavarotti, George Martin na Diana King.
Single iliyofanikiwa sana kutoka kwa albamu hii ilikuwa "My Heart Will Go On", iliyootungwa na James Horner na kuwekwa kwenye filamu maarufu ya Titanic. Ilishinda tuzo kama Academy Award for Best Original Song, tuzo nne za Grammy Award: Grammy Award for Record of the Year, Grammy Award for Song of the Year, Grammy Award for Best Female Pop Vocal Performance na Grammy Award for Best Song Written for a Motion Picture, Television or Other Visual Media pamoja na tuzo zinginezo.
Mafanikio kwenye chati
haririKabla hata albamu hii haijatolewa, Sony Music Entertainment walitangaza kuwa wamepata oda ya nakala milioni 11 kote duniani, na kuifanya albamu iliyongojewa kwa hamu mwaka wa 1997. Albamu hii imeuza zaidi ya nakala milioni 31.5 kote duniani.
Nchini Canada, ilikuwa namba 1 na kuuza nakala 230,212 na baada ya wiki tatu tu, ilithibitishwa diamond. Nchini Marekani, ilikuwa namba 2, ikiuza nakala 334,000. Mauzo yalizidimpaka nakala 624,000 kwenye wiki yake ya sita, lakini bado ilibaki #2. Baadaye, albamu hii ilikuwa kwenye chati ya Billboard 200. Kwa jumla, albamu hii imeuza nakala milioni 10.6 nchini Marekani na ikathibitishwa 10x platinum na RIAA.[2]
Albamu hii imeuza zaidi ya nakala milioni 1.1 nchini Japan, na milioni 1 nchini Brazil.
Albamu hii ilikuwa #1 kote duniani, na kubaki hapo kwa muda ya wiki 11 nchini Netherlands, wiki 10 ikiwa namba 1 kwenye chati ya European Top 100 Albums, wiki 9 ikiwa namba 1 nchini Uswizi na Norway, wiki 8 nchini New Zealand, wiki 7 nchini Ufaransa, Italia na Ubelgiji, wiki 5 nchini Uingereza, Ujerumani, Australia na Denmark, wiki 3 nchini Austria, wiki 2 nchini Canada, Ireland na Ubelgiji na wiki 1 nchini Marekani, Sweden na Finland.
Nyimbo zake
hariri- "The Reason" (Carole King, Mark Hudson, Greg Wells) – 5:01
- "Immortality" (featuring the Bee Gees) (Barry Gibb, Robin Gibb, Maurice Gibb) – 4:11
- "Treat Her Like a Lady" (featuring Diana King) (Diana King, Andy Marvel, Billy Mann) – 4:05
- "Why Oh Why" (Marti Sharron, Danny Sembello) – 4:50
- "Love Is On the Way" (Peter Zizzo, Denise Rich, Tina Shafer) – 4:25
- "Tell Him" (with Barbra Streisand) (Linda Thompson, Walter Afanasieff, David Foster) – 4:51
- "When I Need You" (Albert Hammond, Carole Bayer Sager) – 4:12
- "Miles to Go (Before I Sleep)" (Corey Hart) – 4:40
- "Us" (Billy Pace) – 5:47
- "Just a Little Bit of Love" (Maria Christensen, Arnie Roman, Arthur Jacobson) – 4:06
- "My Heart Will Go On" (love theme from Titanic) (James Horner, Will Jennings) – 4:40
- "Where Is the Love" (Hart) – 4:55
- "I Hate You Then I Love You" (with Luciano Pavarotti) (Tony Renis, Manuel de Falla, Alberto Testa, Fabio Testa, Norman Newell) – 4:42
- "Let's Talk About Love" (Bryan Adams, Jean-Jacques Goldman, Eliot Kennedy) – 5:12
Nyimbo za ziada nchini Asia/Australia/Uropa
- 15. "Amar Haciendo el Amor" (Mann, Rich, Benito) – 4:12
- 16. "Be the Man" (Foster, Miles) – 4:39
Wimbo wa ziada (Canada)
- 15. "Amar Haciendo el Amor" (Mann, Rich, Manny Benito) – 4:12
Wimbo wa ziada (Marekani)
- 15. "To Love You More" (Foster, Junior Miles) – 5:28
Chati
haririChati | Namba | Thibitisho | Mauzo |
---|---|---|---|
Argentinian Albums Chart[3] | n/a | 5x platinum | 300,000[4] |
Australian Albums Chart[5] | 1 | 6x platinum | 420,000[6] |
Austrian Albums Chart[7] | 1 | 2x platinum | 100,000[8] |
Belgian Flanders Albums Chart[9] | 1 | 4x platinum | 200,000[10] |
Belgian Wallonia Albums Chart[11] | 1 | ||
Brazilian Albums Chart | n/a | Gold[12] | n/a |
Canadian Albums Chart | 1 | Diamond[13] | 1,700,000[14] |
Central America Albums Chart | n/a | Gold[12] | n/a |
Chilean Albums Chart | n/a | Gold[15] | n/a |
Colombian Albums Chart | n/a | Gold[15] | n/a |
Czech Republic Albums Chart | n/a | Gold[12] | n/a |
Danish Albums Chart[16] | 1 | Platinum | 30,000[17] |
Dutch Albums Chart[18] | 1 | 5x platinum | 500,000[19] |
European Albums Chart[20] | 1 | 9x platinum1 | 10,000,000 |
Finnish Albums Chart[21] | 1 | 2x platinum | 100,000[22] |
French Albums Chart[23] | 1 | Diamond | 1,200,000[24] |
German Albums Chart[25] | 1 | 3x platinum | 1,500,000[26] |
Greek Albums Chart[27] | 1 | Platinum | 50,000[28] |
Hong Kong Albums Chart | n/a | 9x platinum[15] | n/a |
Hungarian Albums Chart | 3 | n/a | n/a |
Indian Albums Chart | n/a | Gold[15] | n/a |
Indonesian Albums Chart | n/a | 4x platinum[15] | n/a |
Irish Albums Chart[29] | 1 | n/a | n/a |
Islandia Albums Chart | n/a | Gold[15] | n/a |
Israeli Albums Chart | n/a | Gold[15] | n/a |
Italian Albums Chart[30] | 1 | 10x platinum | 1,000,000[31] |
Japanese Albums Chart[32] | 5 | Million | 1,050,000[33] |
Malaysian Albums Chart | n/a | 6x platinum[15] | n/a |
Mexican Albums Chart | n/a | 2x gold[15] | n/a |
New Zealand Albums Chart[34] | 1 | 9x platinum | 135,000[35] |
Norwegian Albums Chart[36] | 1 | 4x platinum | 200,000[37] |
Philippines Albums Chart | n/a | 3x platinum[15] | 90,000 |
Polish Albums Chart[38] | n/a | 3x platinum2 | 450,000[39] |
Portuguese Albums Chart[40] | 3 | 3x platinum | 120,000[41] |
Singapore Albums Chart | n/a | 5x platinum[15] | n/a |
South African Albums Chart | n/a | 4x platinum[15] | n/a |
South Korean Albums Chart | n/a | 2x platinum[15] | n/a |
Spanish Albums Chart[42] | 3 | 4x platinum | 400,000[43] |
Swedish Albums Chart[44] | 1 | 3x platinum | 240,000[45] |
Swiss Albums Chart[46] | 1 | 6x platinum | 300,000[47] |
Taiwanese Albums Chart | n/a | 8x platinum[15] | 500,000[48] |
Thailand Albums Chart | n/a | 5x platinum[15] | n/a |
Turkish Albums Chart | n/a | Platinum[15] | n/a |
UK Albums Chart[49] | 1 | 6x platinum | 2,000,000[50] |
U.S. Billboard 200 | 1 | Diamond | 10,600,000[51] |
Venezuelian Albums Chart | n/a | Gold[15] | n/a |
1 should be certified 10x platinum (10,000,000)
2 should be certified 4x platinum (400,000)
Tuzo
haririMwaka | Tume ya kutoa tuzo | Tuzo |
---|---|---|
1998 | Academy Awards | Best Song (to James Horner and Will Jennings) – "My Heart Will Go On" |
1998 | Golden Globe Awards | Best Original Song (to James Horner and Will Jennings) – "My Heart Will Go On" |
1998 | World Music Awards | World’s Best Selling Canadian Recording Artist of the Year |
1998 | American Music Awards | Favourite Pop/Rock Female Artist |
1998 | Billboard Music Awards | Female Album of the Year – Let's Talk About Love |
1998 | Billboard Music Awards | Soundtrack Single of the Year – "My Heart Will Go On" |
1998 | Billboard Music Awards | Album Artist of the Year |
1998 | Billboard Music Awards | Adult Contemporary Artist of the Year |
1998 | Billboard Music Awards | Album of the Year – Titanic |
1998 | Billboard Music Awards | Soundtrack Album of the Year – Titanic |
1998 | The Order of Canada | Appointed Officer of the Order of Canada for Outstanding Contribution to the World of Contemporary Music |
1998 | National Order of Quebec | Appointed Officer of the National Order of Quebec |
1998 | VH1 Viewers Vote Awards | Artist of the Year |
1998 | VH1 Viewers Vote Awards | Best Female Artist |
1998 | VH1 Viewers Vote Awards | Diva of the Year |
1998 | Japan Record Awards | Special Achievement, International Artist – "My Heart Will Go On" |
1998 | Japan Gold Disc Awards | International Pop Album of the Year – Let’s Talk About Love |
1998 | Japan Gold Disc Awards | International Artist of the Year |
1998 | MuchMusic Video Awards | People's Choice: Favourite Canadian Artist |
1998 | Performance Magazine Readers Poll Awards | Best Pop Act |
1998 | Pop Corn Music Awards | Best Female Singer of the Year |
1998 | Hungarian Record Industry Awards | International Album of the Year – Let’s Talk About Love |
1998 | AMIGO Awards | Best International Female Artist |
1999 | Grammy Awards | Best Female Pop Vocal Performance – "My Heart Will Go On" |
1999 | Grammy Awards | Record of the Year – "My Heart Will Go On" |
1999 | Grammy Awards | Song of the Year (to James Horner and Will Jennings) – "My Heart Will Go On" |
1999 | Grammy Awards | Best Song Written for a Motion Picture, Television or Other Visual Media (to James Horner and Will Jennings) – "My Heart Will Go On" |
1999 | World Music Awards | World’s Best Selling Female Pop Artist |
1999 | American Music Awards | Favourite Female Pop/Rock Artist |
1999 | American Music Awards | Favourite Adult Contemporary Artist |
1999 | American Music Awards | Favorite Soundtrack – Titanic |
1999 | Juno Awards | Female Vocalist of the Year |
1999 | Juno Awards | Best Album – Let’s Talk About Love |
1999 | Juno Awards | Best Selling Album (Foreign or Domestic) – Let’s Talk About Love |
1999 | Juno Awards | International Achievement Award |
1999 | Félix Awards | Most Successful Québécois Artist in a Language Other Than French |
1999 | Walk of Fame | Inducted into Canada’s Walk of Fame |
1999 | Canadian Broadcast Hall of Fame | Inducted into the Canadian Broadcast Hall of Fame |
1999 | People's Choice Awards | Favourite Female Music Performer |
1999 | South African Music Awards | Best Selling International Album – Let’s Talk About Love |
1999 | Blockbuster Entertainment Awards | Favourite Song from a Movie – "My Heart Will Go On" |
1999 | ECHO Awards | Most Successful International Female Artist |
1999 | Japan Gold Disc Awards | International Song of the Year – "My Heart Will Go On" |
1999 | Japan Gold Disc Awards | International Artist of the Year |
2002 | Billboard Latin Music Awards | Special Award for "My Heart Will Go On" as the First English-language Song to Top Billboard's Hot Latin Tracks |
2003 | IFPI Awards | To Commemorate the Sale 10 Millions Copies of Let's Talk About Love in Europe |
Historia ya kutolewa
haririNchi | Tarehe | Studio | Aina | Namba |
---|---|---|---|---|
Australia | 14 Novemba 1997 | Sony Music, Epic, 550 | CD | 4891592 |
Japan | 15 Novemba 1997 | Sony Music Japan, Epic, 550 | ESCA-6877 | |
Uropa | 17 Novemba 1997 | Sony Music, Columbia | 4891592 | |
Marekani | 18 Novemba 1997 | Epic, 550 | 68861 | |
Canada | Sony Music, Columbia | |||
Asia | 18 Januari 1999 | 2CD | 4891592 | |
Uropa | 2 Oktoba 2009 | 88697593672 |
Marejeo
hariri- ↑ Anderson, Jason. "Learning to Love Celine Dion", The Globe and Mail, CTVglobemedia Inc., 2009-06-15. Retrieved on 2009-12-27. Archived from the original on 2009-09-21.
- ↑ "RIAA Top 100 Albums certification". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2010-01-17. Iliwekwa mnamo 2010-01-22.
- ↑ "Argentinian Albums Chart". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-07-01. Iliwekwa mnamo 2010-01-22.
- ↑ "CAPIF". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-07-06. Iliwekwa mnamo 2010-01-22.
- ↑ Australian Albums Chart
- ↑ ARIA
- ↑ Austrian Albums Chart
- ↑ IFPI Austria
- ↑ Belgian Flanders Albums Chart
- ↑ "IFPI Belgium". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-03-14. Iliwekwa mnamo 2010-01-22.
- ↑ Belgian Wallonia Albums Chart
- ↑ 12.0 12.1 12.2 "Les ventes internationales de Celine". Le Lundi. 1998-02-21. Iliwekwa mnamo 2009-09-26.
- ↑ "CRIA". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-01-11. Iliwekwa mnamo 2010-01-22.
- ↑ Billboard. Retrieved 26 Desemba 1998.
- ↑ 15.00 15.01 15.02 15.03 15.04 15.05 15.06 15.07 15.08 15.09 15.10 15.11 15.12 15.13 15.14 15.15 15.16 "Les ventes internationales a la mi-avril". Le Lundi. 1998-05-09. Iliwekwa mnamo 2009-09-26.
- ↑ "Danish Albums Chart". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-02-29. Iliwekwa mnamo 2010-01-22.
- ↑ IFPI Denmark
- ↑ Dutch Albums Chart
- ↑ "NVPI". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2010-01-13. Iliwekwa mnamo 2010-01-22.
- ↑ European Albums Chart
- ↑ Finnish Albums Chart
- ↑ "IFPI Finland". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-02-24. Iliwekwa mnamo 2010-01-22.
- ↑ French Albums Chart
- ↑ "SNEP". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-12-12. Iliwekwa mnamo 2010-01-22.
- ↑ "German Albums Chart". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-09-27. Iliwekwa mnamo 2010-01-22.
- ↑ IFPI Germany
- ↑ "Greek Albums Chart". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2010-01-18. Iliwekwa mnamo 2010-01-22.
{{cite web}}
: Unknown parameter|=
ignored (help) - ↑ "IFPI Greece". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-12-20. Iliwekwa mnamo 2010-01-22.
{{cite web}}
: Unknown parameter|=
ignored (help) - ↑ "Irish Albums Chart". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2013-09-19. Iliwekwa mnamo 2010-01-22.
- ↑ "Italian Albums Chart". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-07-22. Iliwekwa mnamo 2010-01-22.
- ↑ FIMI
- ↑ Japanese Albums Chart
- ↑ RIAJ
- ↑ "New Zealand Albums Chart". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2015-06-12. Iliwekwa mnamo 2010-01-22.
{{cite web}}
: Unknown parameter|=
ignored (help); Unknown parameter|https://web.archive.org/web/20150612162147/http://www.charts.org.nz/showitem.asp?interpret=
ignored (help) - ↑ "RIANZ". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-03-14. Iliwekwa mnamo 2010-01-22.
- ↑ Norwegian Albums Chart
- ↑ "IFPI Norway". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2010-01-18. Iliwekwa mnamo 2010-01-22.
- ↑ Polish Albums Chart
- ↑ "ZPAV". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-08-22. Iliwekwa mnamo 2010-01-22.
- ↑ "Portuguese Albums Chart". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-12-10. Iliwekwa mnamo 2010-01-22.
- ↑ "AFP". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-09-30. Iliwekwa mnamo 2010-01-22.
- ↑ Spanish Albums Chart
- ↑ PROMUSICAE
- ↑ Swedish Albums Chart
- ↑ "IFPI Sweden" (PDF). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2012-03-05. Iliwekwa mnamo 2012-03-05.
- ↑ Swiss Albums Chart
- ↑ IFPI Switzerland
- ↑ Billboard. Retrieved 24 Oktoba 1998.
- ↑ UK Albums Chart
- ↑ "BPI". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2010-01-17. Iliwekwa mnamo 2010-01-22.
{{cite web}}
: Unknown parameter|=
ignored (help); Unknown parameter|https://www.webcitation.org/5mr0Evm3j?url=
ignored (help) - ↑ RIAA