Lockheed Martin

Lockheed Martin ni kampuni ya Marekani ambayo hutengeneza ndege na makombora ya kijeshi. Ina pia kitengo cha kutengeneza vyombo vya anga-nje, kama Orion inayokusudiwa kusafiri hadi Mwezi na sayari ya Mirihi.

Nembo ya Lockheed Martin

Mnamo mwaka wa 2011 ilizalisha faida ya dolar bilioni 2.6. Makao makuu ya kampuni ya Lockheed Martin yako mjini Bethesda, Maryland.

Ni kampuni kubwa zaidi ya kuuza silaha kimataifa. [1]

Mifano ya teknolojia ya Lockheed-MartinEdit

MarejeoEdit

Tovuti nyingineEdit

  Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lockheed Martin kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.