London School of Economics

Chuo cha Uchumi London (London School of Economics and Political Science; kwa kawaida kifupi: LSE kwa London School of Economics) ni kati ya vyuo maarufu duniani katika elimu ya uchumi, jamii na siasa.

Muhtasari

hariri
 

Chuo kilianzishwa mwaka 1895 mjini London na leo hii ni sehemu ya Chuo Kikuu cha London. Hasa idara ya uchumi ina sifa za kimataifa.

Zaidi ya wakuu wa dola 39 walisoma katika chuo hiki na 8 kati yao wanashika nafasi ya mkuu wa nchi mwaka 2007. Maprofesa pamoja na waliopata digrii chuoni hapa jumla 14 walipokea tuzo ya Nobel ya uchumi, amani au fasihi.

Nafasi za kuendesha utafiti pamoja na nafasi kwa ajili ya wanafunzi huhesabiwa kati ya bora kabisa duniani.

Wanafunzi mashuhuri wa LSE

hariri

Kati ya viongozi wa kimataifa waliosoma LSE ni

 
Wikimedia Commons ina media kuhusu: