Louisa Akpagu (alizaliwa 22 Desemba 1974) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa nchini Nigeria ambaye alicheza kama golikipa. Ni mchezaji wa timu ya taifa ya mpira wa miguu ya wanawake nchini Nigeria. Alikuwa mmoja ya wachezaji wa timu iliyocheza Kombe la Dunia la FIFA la wanawake la 1995.[1]

Louisa Akpagu
Amezaliwa 22 Desemba 1974
Nigeria
Nchi Nigeria
Kazi yake Mchezaji wa mpira wa miguu

Marejeo hariri

  1. "FIFA Women's World Cup Sweden 1995 - Teams". FIFA Women's World Cup Sweden 1995. FIFA. 1995. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-12-21. Iliwekwa mnamo 2007-09-28.  More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Louisa Akpagu kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.