Loyal to the Game
Loyal to the Game ni jina la kutaja albamu ya nne kutolewa baada ya kifo cha hayati Tupac Shakur. Albamu ina maremixi kadhaa ambayo awali hayakutolewa na Tupac Shakur kabla ya kifo cha mnamo mwaka wa 1996. Albamu ilitolewa nchini Marekani mnamo tar. 14 Desemba 2004 (12 Desemba nchini Uingereza), Loyal to the Game ilitayarishwa na Eminem.
Loyal to the Game | |||||
---|---|---|---|---|---|
Studio album ya 2Pac | |||||
Imetolewa | 14 Desemba 2004 | ||||
Imerekodiwa | 1991-1994 (2Pac Vocals) 2004 (Production, Guest Vocals, etc.) |
||||
Aina | Rap | ||||
Urefu | 64:56 | ||||
Lebo | Amaru | ||||
Mtayarishaji | Eminem, Scott Storch, DJ Quik, Red Spyda, Raphael Saadiq | ||||
Tahakiki za kitaalamu | |||||
|
|||||
Wendo wa albamu za 2Pac | |||||
|
|||||
Single za kutoka katika albamu ya Loyal to the Game | |||||
|
Kwa mujibu wa mahojiano yake na MTV, Eminem alivutiwa sana maisha ya Tupac na kazi zake na hivyo kumwandikia barua mama'ke Tupac, Afeni Shakur, akimwomba amruhusu kutayarisha albamu hii. Shakur amekubali, amempa Eminem haki za kuendelea kutayarisha albamu.[1] Albamu imetoa vibao vikali viwili - "Thugs Get Lonely Too" na "Ghetto Gospel".[2]
Eminem ametoa maujanja tofauti kadhaa wakati wa matayarisho ya albamu hii, amebadilisha hatua na uzito wa sauti ya Tupac ili iweze kwenda sawa na biti alizotayarisha.[3] Pia kumekuwa na matumizi mengi ya kukata na kubandika sauti ili kutengeneza maneno mapya yafofuatana na mwenendo wa utamaduni wa rap ya kisasa.
Ilifika kilele cha nafasi ya kwanza kwenye chati za Billboard 200 ikiwa na mauzo zaidi ya nakala 330,000 katika wiki yake ya kwanza. Halafu baadaye ilitunukiwa Platinum nchini Marekani na Dhahabu huko nchini Uingereza.[4]
Orodha ya nyimbo
hariri# | Jina | Watayarishaji | Wageni walioshirikishwa | Sampuli | Muda |
---|---|---|---|---|---|
1 | "Soldier Like Me (Return of the Soulja)" | Eminem | Eminem | 3:50 | |
2 | "The Uppercut" | Eminem | E.D.I. na Young Noble | 3:50 | |
3 | "Out on Bail" | Eminem | 3:54 | ||
4 | "Ghetto Gospel" | Eminem |
|
3:58 | |
5 | "Black Cotton" | Eminem | Eminem, Kastro na Young Noble | 5:03 | |
6 | "Loyal to the Game" | Eminem | G-Unit | 3:23 | |
7 | "Thugs Get Lonely Too" | Eminem | Nate Dogg | 4:48 | |
8 | "N.I.G.G.A. (Never Ignorant about Getting Goals Accomplished)" | Eminem | Jadakiss | 3:02 | |
9 | "Who Do You Love?" | Eminem | 3:28 | ||
10 | "Crooked Nigga Too" | Eminem | 2:55 | ||
11 | "Don't You Trust Me?" | Eminem | Dido |
|
4:55 |
12 | "Hennessey" | Eminem | Obie Trice | 3:27 | |
13 | "Thug 4 Life" | Eminem | 2:54 | ||
14 | "Po Nigga Blues (Scott Storch Remix)" | Scott Storch | Ronald Isley | 3:39 | |
15 | "Hennessy (Red Spyda Remix)" | Red Spyda | E.D.I. and Sleepy Brown | 3:18 | |
16 | "Crooked Nigga Too (Raphael Saadiq Remix)" | Raphael Saadiq | 4:02 | ||
17 | "Loyal to the Game (DJ Quik Remix)" | DJ Quik | DJ Quik & Big Syke | 4:21 |
Nafasi za chati za albamu
haririMwaka | Albamu | Chati | |||
Billboard 200 | Top R&B/Hip Hop Albums | Top Rap Albums | Canadian Albums Chart | ||
2004 | Loyal To The Game | #1 | #1 | #1 | #7 |
Marejeo
hariri- ↑ "village voice > nyclife > The Essay: The End of Eminem by Jon Caramanica". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-06-22. Iliwekwa mnamo 2010-04-27.
- ↑ Amazon.com: Loyal to the Game: 2Pac: Music
- ↑ "2Pac (Tupac Shakur) Loyal to the Game Lyrics Sounds and More". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-10-16. Iliwekwa mnamo 2010-04-27.
- ↑ "vnu_content_id=1000741125 Tupac's 'Game' Haunts Album Chart At No. 1". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2010-04-27. Iliwekwa mnamo 2010-04-27.