Lucian Msamati
Lucian Wiina Msamati (amezaliwa 5 Machi mwaka 1976) ni mwigizaji Mwingereza.
Alicheza Salladhor Saan katika mfululizo Game of Thrones na alikuwa mwigizaji wa kwanza Mweusi kucheza Iago katika tamasha Othello ya Royal Shakespeare Company kwenye mwaka 2015.
Maisha ya awali na Elimu
haririMsamati alizaliwa Uingereza na wazazi Watanzania, baba daktari na mama muuguzi, akiwa mkubwa kati ya ndugu zake wanne. Alilelewa Zimbabwe. Elimu yake ya msingi ilianza katika shule ya msingi Olympio Primary School iliyopo Dar-es-Salaam, Tanzania, na kuendelea katika shule ya Avondale Primary School iliyopo Harare, Zimbabwe.
Baada ya shule ya sekondari ya Prince Edward School iliyopo Harare, alisoma shahada ya kwanza katika lugha za Kifaransa na Kireno katika Chuo Kikuu Zimbabwe kuanzia mwaka 1995 hadi 1997.[1][2][3]
Kazi
haririUkumbi wa michezo
haririBaada ya chuo alifanya kazi kama mtangazaji wa matangazo copywriter na mtangazaji wa redio wa kujitegemea. Pia alifanya kazi kama msanii wa kujitegemea kwenye matamasha pia mzungumzaji wa usiku kwenye chakula cha usiku.
Mnamo mwaka 1994, Msamati na marafiki zake wa shule Shaheen Jassat (amefariki), Craig and Gavin Peter, Kevin Hanssen, Roy Chizivano, Sarah Norman waliunda ukumbi wa mchezo uliosifika sana Zimbabwe Over the Edge Theatre Company[4].
Huko Harare, baadaye aliungana na Erica Glyn-Jones, Zane E. Lucas, Chipo Chung, Karin Alexander, Rob Hollands na Michael Pearce. [1]
Mnamo mwaka 2010, Msamati alichaguliwa kuwa mkurugenzi wa kisanii wa nyumba ya michezo ya British-African theatre company Tiata Fahodzi,[3] until being succeeded in 2014 by Natalie Ibu.[5] Aliendelea kufanya kazi na Tiata Fahodzi, akiongoza Boi Boi is Dead mnamo 2015.[3]
Masika ya mwaka 2015, Msamati alikuwa mwigizaji wa kwanza mweusi kuwahi kucheza Iago in a Royal Shakespeare Company iliyotolewa na Othello (with Hugh Quarshie kwenye uhusika wa kichwa).[3][6]
Kuanzia Oktoba 2016 hadi Machi 2017 na kuanzia Februari hadi 24 Aprili 2018, alitoa onyesho katika uhusika ukuu katika Antonio Salieri kwenye mchezo wa Peter Shaffer Amadeus katika National Theatre, onyesho ambaloMichael Billington, kwenye uhusika wa nne walio shiriki The Guardian, aliitaja kama "nzuri sana".[7][8]
Mwaka 2019 alikuwa nyota kama Sam kwenye Master Harold and the Boys kwenye Royal National Theatre.[9][10]
Msamati ametokea katika maonyesho mengi ya nyumba za michezo ya London, UK, zikiwemo:
- Fabulation (play)|Fabulation, Tricycle Theatre[4]
- Gem of the Ocean, Tricycle Theatre[4]
- I.D. (play)|I.D., Almeida Theatre[1]
- Mourning Becomes Electra, Royal National Theatre[4]
- The Overwhelming, Royal National Theatre[4]
- Pericles, Prince of Tyre, played the title role, Royal Shakespeare Company[4]
- President of an Empty Room, Royal National Theatre[4]
- The Resistible Rise of Arturo Ui, Lyric Hammersmith[1]
- Walk Hard, Tricycle Theatre[4]
- Death and the King's Horseman, Royal National Theatre[11]
- Ruined, Almeida Theatre[12]
- Clybourne Park, Royal Court Theatre[13]
Runinga
haririPia ametokea katika maonyesho ya runinga, ikiwemo vipindi vya sehemu vya runingaUltimate Force and Spooks. Mnamo mwaka 2008, alichukua uhusika muhimu, wakucheza JLB Matekoni kwenye BBC/HBO-produced series The No. 1 Ladies' Detective Agency.[14] Pia aliongoza vipindi vya BBC Luther, Ashes to Ashes, Doctor Who, Taboo, and Death in Paradise, as well as playing the part of the pirate Salladhor Saan in the HBO series Game of Thrones.[15][16]
Hivi karibuni ametokea kama Lord Faa kwenye His Dark Materials katika BBC One. Mnamo 2020 Msamati alitokea kama Ed Dumani kwenyeSky Atlantic’s Gangs of London[17] na kwenye kipindi cha BBC cha Alan Bennett's Talking Heads.[18]
Filamu
haririMsamati ametokea katika filamu ya The International (2009). Filamu zingine ni Lumumba (1999), directed by Raoul Peck; the animated feature The Legend of the Sky Kingdom (2003), directed by Roger Hawkins and Richard II, directed by Rupert Goold.[19]
Radio
haririMsamati ametokea kama Matthew kwenye BBC Radio 4 drama Burned to Nothing (2011) by Rex Obano.[20]
Maisha binafsi
haririMsamati alihama kabisa kuelekea UK mwaka 2003[1] na kuishi London hadi sasa.[19]
Kazi za sanaa
haririRuninga
haririYear | Title | Role | Notes |
---|---|---|---|
1997 | The Knock | Doctor | Series 3, Episode 2 Credited as Wina Msamati |
2005 | Ultimate Force | Blessed | Episode: "Never Go Back" |
2006 | Spooks | Manu Buffong | Series 5, episode 4 Uncredited |
2008–2009 | The No. 1 Ladies' Detective Agency | JLB Matekoni | Seven episodes |
2009 | 10 Minute Tales | Flirty Orderly | |
2010 | Doctor Who | Guido | Episode: "The Vampires of Venice" |
2010 | Ashes to Ashes | Tobias Ndbele | Series 3, Episode 7 |
2012 | The Hollow Crown | Bishop of Carlisle | Episode: Richard II |
2013 | Death in Paradise | Dr Johnson | Episode: "Murder on the Plantation" |
2013 | Doctors | Joseph Segunle | Episode: "Thicker Than Water" |
2013 | Holby City | Dumisani Themba | Episode: "Ask Me No Questions" |
2013 | Luther | Ken Barnaby | Two episodes |
2012–2014 | Game of Thrones | Salladhor Saan | Three episodes |
2015 | Inspector George Gently | Ellison | Episode: "Son of a Gun" |
2015 | Urban Myths | Herbert Muhammed | Episode: "The Greatest. Of All Time." |
2017 | Taboo | George Chichester | |
2017 | Electric Dreams | The Director | Episode: "Crazy Diamond" |
2018 | Kiri | Tobi Akindele | Miniseries |
2018 | Black Earth Rising | David Runihura | |
2019 | His Dark Materials | John Faa | TV series |
2020 | Gangs of London | Ed Dumani | TV series |
2020 | Talking Heads | Wilfred Paterson | Episode: "Playing Sandwiches" |
Film
haririYear | Title | Role | Notes |
---|---|---|---|
2003 | The Legend of the Sky Kingdom | Italiano (voice) | Credited as Wina Msamati |
2009 | The International | General Charles Motomba | |
2016 | Seekers | Yusuf | Short film |
2019 | The Good Liar | Beni | N/A |
2020 | Zog and the Flying Doctors | The Lion (voice) | Short film[21] |
Tanbihi
hariri- ↑ 1.0 1.1 1.2 1.3 1.4 Edemariam, Aida. "And now for the good news...", The Guardian, 21 March 2008. Retrieved on 26 July 2020.
- ↑ "biographies: wiina lucian msamati". Over the Edge. Iliwekwa mnamo 28 Februari 2015.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ 3.0 3.1 3.2 3.3 Gilbey, Ryan. "Lucian Msamati: danger zone", The Guardian, 28 January 2015. Retrieved on 27 February 2015.
- ↑ 4.0 4.1 4.2 4.3 4.4 4.5 4.6 4.7 The No. 1 Ladies' Detective Agency: Lucian Msamati plays JLB Matekoni (Press release). BBC Press Office. 13 March 2008. http://www.bbc.co.uk/pressoffice/pressreleases/stories/2008/03_march/13/ladies_msamati.shtml. Retrieved 26 July 2020.
- ↑
Hutchison, David (12 Novemba 2014). "Tiata Fahodzi names new artistic director". The Stage. Iliwekwa mnamo 27 Februari 2015.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Shenton, Mark (12 February 2016), "Lucian Msamati: ‘Some people still see the colour, not the actor’". The Stage. Retrieved 23 July 2020.
- ↑ Billington, Michael (27 Oktoba 2016). "Amadeus review – stunning production pits Salieri against God, Mozart and his own orchestra". The Guardian. Iliwekwa mnamo 23 Januari 2018.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Amadeus 2018". Royal National Theatre. Iliwekwa mnamo 24 Julai 2020.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ ""Master Harold"...and the Boys". Royal National Theatre. 2019. Iliwekwa mnamo 24 Julai 2020.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Cavendish, Dominic. "'Master Harold… and the Boys, National’s Lyttelton Theatre, review: a spellbinding affirmation of the need for humanity at the bleakest moments", The Daily Telegraph, 2 October 2019.
- ↑ Coveney, Michael. "Death and the King's Horseman, National Theatre, London", The Independent, 13 April 2009.
- ↑ Billington, Michael. "Ruined", The Guardian, 23 April 2010.
- ↑ Sierz, Aleks. "Clybourne Park, Royal Court Theatre", The Arts Desk, 2 September 2010.
- ↑ Anthony Minghella and Richard Curtis collaborate for The No. 1 Ladies' Detective Agency (Press release). BBC Press Office. 2007. https://www.bbc.co.uk/pressoffice/pressreleases/stories/2007/12_december/04/detective.shtml. Retrieved 24 July 2020.
- ↑ Goldberg, Lesley. "'Game of Thrones': Trio Join Sprawling Season 2 Cast", The Hollywood Reporter, 26 August 2011. Retrieved on 27 September 2016.
- ↑ Durrant, Nancy. "Lucian Msamati on Game of Thrones and returning to the National Theatre", The Times, 24 September 2019.
- ↑ Ritman, Alex. "'Gangs of London' Cinemax Series Sets Cast", The Hollywood Reporter, 5 December 2018.
- ↑ "Alan Bennett's Talking Heads". BBC Media Centre. 2020. https://www.bbc.co.uk/mediacentre/proginfo/2020/26/alan-bennetts-talking-heads-ep5. Retrieved 24 July 2020.
- ↑ 19.0 19.1 "Lucian Msamati". Spotlight. Iliwekwa mnamo 26 Julai 2020.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Burned to Nothing, Afternoon Drama – BBC Radio 4". BBC.
- ↑ "Zog and the Flying Doctors". BBC One. 1 Januari 2021. Iliwekwa mnamo 23 Januari 2021.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Viungo vya Nje
haririMakala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Lucian Msamati kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |