Lugha za Kianatolia

Lugha za Kianatolia ni jina la kundi la lugha za kale zilizotumika hasa katika rasi ya Anatolia (leo Uturuki). Kundi hilo linaainishwa kama mojawapo kati ya yale ya lugha za Kihindi-Kiulaya.

Maarufu zaidi ilikuwa ile ya Wahiti. Zote zilikoma kufikia mwanzo wa milenia ya 1 BK kwa kuzidiwa na Kigiriki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lugha za Kianatolia kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.