Lugha za Kimande
(Elekezwa kutoka Lugha za Kimandé)
Lugha za Kimande zinaunda kundi la lugha ambazo zinazungumzwa katika nchi nyingi ya Afrika ya Magharibi, kati ya Gambia na Nijeria.
Wasemaji wa lugha hizo wanazidi milioni thelathini. Lugha za kundi hilo ni Kimandinka, Kisoni, Kibambara, Kibissa, Kijula, Kikagoro, Kibozo, Kimende, Kisusu, Kiyakuba, Kivai, na Kiligbi.
Viungo vya nje
haririMakala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Lugha za Kimande kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |