Lugha za Kitokari ni jina la kundi la lugha za kale zilizotumika hasa katika mkoa wa Xinjiang (leo nchini China). Kundi hilo linaainishwa kama mojawapo kati ya yale ya lugha za Kihindi-Kiulaya.

Maarufu zaidi ilikuwa ile ya Wahiti. Zote zilikoma kufikia karne ya 9 BK.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lugha za Kitokari kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.