Luigi Galvani
Luigi Galvani (matamshi ya Kiitalia: luˈiːdʒi ɡalˈvaːni; kwa Kilatini: Aloysius Galvanus; 9 Septemba 1737 – 4 Desemba 1798) alikuwa mwanafizikia, tabibu, mwanabiolojia na mwanafalsafa wa Italia. Ni maarufu kwa kuvumbua umeme mwilini mwa wanyama na anatambulikana kama mwanzilishi wa umemesumaku wa kibiolojia.
Mwaka 1780 alivumbua kwamba misuli ya miguu ya vyura wafu ilishtuka ilipochokozwa kwa umeme kidogo.[1]
Maandishi yake
hariri- De viribus electricitatis, 1791. The International Centre for the History of Universities and Science (CIS), Università di Bologna
Tanbihi
hariri- ↑ Whittaker, E. T. (1951), A history of the theories of aether and electricity. Vol 1, Nelson, London
Vyanzo
hariri- Heilbron, John L., mhr. (2003). The Oxford Companion to the History of Modern Science. Oxford University Press. ISBN 978-0199743766.
{{cite book}}
: Invalid|ref=harv
(help)
Viungo vya nje
hariri- The Wiktionary definition of galvanize
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Luigi Galvani kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |