Lupensi (kwa Kifaransa: Louvent, Lupien; Bois-du-Mont, karibu na Javols, leo nchini Ufaransa, 537 hivi - karibu na Perthes, Ufaransa, 584 hivi) alikuwa padri na abati wa basilika la Saint-Privat.

Sanamu yake ikimwonyesha amekatwa kichwa.

Baada ya kusumbuliwa sana na mtawala[dead link] wa mji, Inosenti, alikatwa kichwa.[1].

Habari zake ziliandikwa na Gregori wa Tours.

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu.

Sikukuu yake inaadhimishwa kila tarehe 22 Oktoba[2].

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri

Marejeo

hariri
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.