Lupisino wa Lyon
Lupisino wa Lyon (alifariki Lyon, Ufaransa, karne ya 5) alikuwa askofu wa 21 wa mji huo miaka 491-493, wakati mgumu wa Wavandali kudhulumu Wakatoliki[1].
Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 3 Februari[2].
Tazama pia
haririTanbihi
haririMarejeo
hariri- (Kilatini) De S. Lupicino episcopo Lugdunensi in Gallia, in Acta Sanctorum Februarii, vol. I, pp. 364-365
- (Kifaransa) Louis Duchesne, Fastes épiscopaux de l'ancienne Gaule, vol. II, Paris 1910, pp. 157-163
- (Kifaransa) Dictionnaire d'archéologie chrétienne et de liturgie, Tome X, première partie, Paris 1931, col. 199
- (Kiitalia) René Wasselynck, Lupicino e Felice, vescovi di Lione, santi, in «Bibliotheca Sanctorum», vol. VIII, col. 381
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |