Lusiano na Marsiano
watakatifu
Lusiano na Marsiano (walifariki mwaka 250 hivi) walikuwa Wakristo wa Nikomedia, leo Izmit nchini Uturuki, ambao waliuawa kwa kuchomwa moto kwa amri ya gavana Sabinus wakati wa dhuluma ya kaisari Decius wa Dola la Roma[1].
Wanaheshimiwa na Kanisa Katoliki, Waorthodoksi na Waorthodoksi wa Mashariki kama watakatifu wafiadini.
Tazama pia
haririTanbihi
haririMakala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |