Luzi wa Chur
Luzi wa Chur (pia: Lucius, Luzius; Prättigau, Uswisi au Montafon, Austria; karne ya 5 hivi - Chur, Uswisi, karne ya 6 hivi) alikuwa mkaapweke wa mji huo [1].
Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.
Tazama pia
haririTanbihi
hariri- ↑ www.santiebeati.it/dettaglio/80300
- ↑ Martyrologium Romanum
Marejeo
hariri- Albert Gasser, Die Lucius-Vita, Disentis: Desertina-Verlag, 1984
- Bibliotheca Hagiographica Latina, antiquae et mediae aetatis, ediderunt Socii Bollandiani, Bruxelles 1900-1901.
- Bibliotheca Sanctorum (12 voll.), Istituto Giovanni XXIII della Pontificia Università Lateranense, Città nuova, Roma 1961-1971.
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |